Jumanne, Februari 16, 2016

TAMBO ZA UBABE KATI YA MAREKANI NA KOREA KUSINI ZINAENDELEA KUCHUKUA SURA MPYA

Marekani itatuma ndege zake za kivita aina ya F-22 stealth kuelekea nchini Korea ya Kusini ambazo zina uwezo wa kubeba silaha za nyuklia ili kuonyesha nguvu zake za kijeshi kwa serikali ya Korea ya Kaskazini , shirika la habari la Yonhap lilisema.
Ndege za F-22 stealth zina uwezo wa kuepuka kugunduliwa na rada, na pia uwezo wa kubeba makombora ya nyuklia na mabomu.

0 comments:

Chapisha Maoni