Serikali imeiagiza Mamlaka ya Mawasiliano Nchini, TCRA kuchunguza madai ya muda mrefu ya watumiaji wa simu za mikononi kuibiwa muda wa maongezi na fedha za mitandaoni.
Wizi huo unadaiwa kufanywa na mitandao ya wizi ikishirikiana na baadhi ya wafanyakazi wa kampuni hizo za simu
0 comments:
Chapisha Maoni