Jumatano, Januari 20, 2016

RAIS MAGUFULI ATEMBELEA OFISI ZA IKULU NA KUSHONA NGUO ZA WAFANYA KAZI KWA CHEREHANI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli ametembelea baadhi ya ofisi za Ikulu jijini Dar es salaam kwa lengo la kusalimiana na wafanyakazi wa Ikulu pamoja na kujionea mazingira ya kazi.
Miongoni mwa ofisi hizo ni ofisi ya Madereva wa Ikulu na kitengo cha ushonaji ambako ameshiriki kushona nguo kwa kutumia cherehani.

0 comments:

Chapisha Maoni