Naibu Waziri Fedha na Mipango Mhe. Dkt Ashatu Kijaji (kushoto)
akikagua nyaraka za mizigo kutoka kwa Bw. Baraka Lwesya (katikati)
ambaye ni wakala kutoka kampuni ya Oceanair Freight L.t.d. Kulia ni
Katibu wa Naibu Waziri Fedha na Mipango na Mchumi Bw. Moses Dulle.
Naibu Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji alitembelea
forodha ya Tunduma na kujionea utendaji kazi unavyofanyika pamoja na
changamoto zinazowakabili.
0 comments:
Chapisha Maoni