Siku kama ya leo kihistoria miaka 53 iliyopita, wataalamu wawili wa Uswisi walifanikiwa kutengeneza saa ya elekroniki. Wataalamu Solvil na Titus baada ya kupitisha miaka 12 ya juhudi kubwa, hatimaye walifanikiwa kutengeneza chombo hicho kwa kuweka vifaa kadhaa muhimu na makini. Aina hii ya saa ni makini mno na hufanya makosa machache sana ikilinganishwa na saa nyingine.
0 comments:
Chapisha Maoni