Wafanyakazi zaidi ya 360 wa kiwanda cha saruji cha Dangote mkoani Mtwara, wamekamatwa kwa kufanya kazi nchini bila kuwa na vibali vya uhamiaji.
Meneja wa kiwanda hicho anashikiliwa kwa kutotoa ushirikiano wa kutosha kuwabaini wafanyakazi wa kigeni wasiokuwa na vibali.
0 comments:
Chapisha Maoni