Licha ya kuchomoza na ushindi wa bao moja kwa sifuri lililofungwa na kiungo kutoka nchini Hispania Juan Matta dhidi ya Crystal Palace, Meneja wa klabu ya Man Utd, Louis Van Gaal amesema huenda ikamchukua muda wa miaka mitatu kukamilisha mpango wa kurejesha makali ya klabu hiyo. Endelea kuisoma habari hii kwa kubofya link hii>>>http://www.fichuotz.com/2014/11/van-gaal-aikatia-tamaa-manchester-united.html
0 comments:
Chapisha Maoni