Saa ghali zaidi duniani imenunuliwa mnadani huko Geneva,Uswiss kwa gharama ya dola za kimarekani milioni 21.3.
Saa
hiyo imetengenezwa kwa kutumia karati ishirini na moja za dhahabu na
ina uzito wa nusu kilo,saa hiyo iliyoundwa kwa mbwembwe ilitengenezwa
mahsusi kwa ajili ya mtoto wa mfanya biashara,Henry Graves mnamo mwaka
1930...Soma habari hii kwa urefu katika link hii>>>http://www.fichuotz.com/2014/11/saa-yenye-gharama-kubwa-zaidi-duniani.html
0 comments:
Chapisha Maoni