Jumatano, Novemba 12, 2014

MWANAUME APATA MASWAHIBU GESTI NA KUFIA HOSPITALI MBEYA

Mtu mmoja aliyefahamika kwa jina la Kassim Rashid (55),mkazi wa Ghana – Mbeya alifariki dunia wakati akipatiwa matibabu hospitali ya rufaa jijini Mbeya.
Tukio hilo limetokea juzi majira ya saa 10:30 jioni. Awali majira ya saa 03:30 asubuhi marehemu alifika kwenye nyumba ya kulala wageni iitwayo Atukuzwe iliyopo eneo la Sokomatola akiwa ameongozana na....Soma zaidi>>>

0 comments:

Chapisha Maoni