Waziri mkuu wa Tanzania, Mizengo Pinda, ametangaza niya yake ya kuwania urais katika uchaguzi ujao .
Pinda aliyasema hayo mjini London ambako mkutano wa viongozi unaoangazia uwekezaji zaidi katika bara la Afrika unaendelea .
Viongozi
hao wanatumaini kuyashawishi mashirika makubwa zaidi ya uwekezaji,
katika mkutano huo wa siku mbili, kwamba yanafaa kuwekeza zaidi katika
mataifa ya Afrika, hasa Nigeria, Uganda, Tanzania, Rwanda, Ghana na
Togo.
0 comments:
Chapisha Maoni