Ijumaa, Oktoba 31, 2014

MWANAMKE AVULIWA NGUO HADHARANI BAADA YA KUIBA

Mwanamke Mmoja Nchini China Aliejulikana Kwa Jina La Yu Chung Amepata Fedheha Kubwa Baada Ya Kuonekana Katika Camera Ya duka La Nguo Alikokuwa Amekwenda Kufanya Window Shopper Kwa Bahati Mbaya Alionekana Bila Kutarajia Baada Ya Muhusika Wa Duka Hilo Kumuona Katika Camera.
Aliamua Kumfata Lakini Mwanamke Huyo Alikimbia Na Ndipo Alipovutwa Nguo Na Kupewa Adhabu Ya Kuvuliwa Nguo Hadharani Mpaka Brazia.
Muhusika Wa Duka Hilo Alifanya Hivyo Ili Iwe Fundisho Kwa Watu Wengine Wanaopenda Kuiba Katika Maduka.

0 comments:

Chapisha Maoni