Alhamisi, Julai 10, 2014

VERA SIDIKA KATIKA GOOGLE PLAY APPS

Mrembo wa Kenya aitwaye Vera Sidika a.k.a Vee Baby aliwahi kukiri mwenyewe kuwa mwili wake ndio biashara yake katika interview aliyofanyiwa na larry Madowo kwa mijibu wa Nairobiwire,na inavyoonekana hayuko nyuma na kanuni za biashara,si wote tinajua ‘biashara ni matangazo?najua umesema ndio.Mrembo huyo ameeanzisha application yake ya simu inayoitwa jina lake’vera sidika’ inayopatikana google play store’ kwa ajili ya kuwaharahisishia mahabiki wake kupata huduma ya picha “asset’ yake kwa urahisi zaidi.

0 comments:

Chapisha Maoni