Jumatatu, Julai 07, 2014

UNAYAFAHAMU MAKABURI YA NDEGE?

Umekwisha wahi kufikiria ndege 'zikichoka' na 'kustaafu kazi' zinapelekwa wapi? Haya ni maeneo kadhaa ambapo utakuta "makaburi ya ndege".
1. Newbury, Ohio- Marekani 2. Jangwa la Mojave, California- Marekani, 3. The Boneyard, Arizona - Marekani, 4. Pinal Airpark, Arizona-Marekani, 5. Aviation Warehouse, California- Marekani, 6. Khodynka Aerodrome, Urusi, 7. Chernobyl, Ukraine.

0 comments:

Chapisha Maoni