Ukijitoa Kumpenda mtu na kumpa kila kitu,halafu huyo mtu akashindwa
kujua jinsi gani anapendwa na wewe akakuumiza,hupaswi
kujilaumu...Anapaswa yeye kujilaumu kwa kushindwa kusoma alama za
nyakati kwamba anapendwa na mtu sahihi na anapewa mapenzi
sahihi...Atakuja kujua baadae sana kwamba kuna mtu sahihi aliwahi
kumpenda kwa usahihi na yeye hakuwa na macho ya kuliona penzi hilo kwa
usahihi...
Usilie wala kujilaumu ukikumbana na watu wa namna hii,tafuta mtu mwingine Mmwagie Huba la kufa mtu,ipo siku utakutana na mtu atakayeona Penzi lako na atalipokea kwa miguu na mikono huku akitabasamu.
NEVER GET TIRED TO FALL IN LOVE,THE RIGHT PERSON IS WAITING FOR YOU SOMEWHERE

0 comments:
Chapisha Maoni