Ndege hiyo aina ya N604AR, ikiwa imebeba wanajeshi nane wa Marekani,
ilitua hafla huko Kiwawu, kilomita 22 kutoka Wilaya ya Mityana.
Mkuu wa Wilaya ya Mityana Joel Walusimbi amethibitisha kutokea kwa
tukio hilo ambapo amesema Rubani alilazimika kutua barabarani.
Polisi wa Uganda wamesema ndege hiyo ilikuwa ikielekea Juba, Sudan Kusini ikitokea Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Entebbe.
Polisi wa Uganda wamesema ndege hiyo ilikuwa ikielekea Juba, Sudan Kusini ikitokea Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Entebbe.
0 comments:
Chapisha Maoni