Wananchi Mkoani Iringa wametakiwa kushiriki katika kampeni ya tokomeza kichaa cha mbwa iliyoanza July 22 mpaka August 30 mwaka huu ambayo ni siku ya maadhimisho ya ugonjwa wa kichaa cha mbwa duniani.
Afisa wa Mifugo kata ya Gangilonga Manispaa ya Iringa Bw.Patrick Luvingo amesema mpaka kuisha kwa kampeni hiyo zaidi ya mbwa 314 kwa mitaa yote tisa ya kata ya gangilonga wanatarajiwa kupewa huduma ya chanzo hiyo.
Bw.Luvingo ameongeza kuwa awali walitenga vituo vya kutolea huduma hiyo lakini wafugaji wengi wamekuwa hawafiki katika vituo hivyo huku baadhi yao wakiwatuma watoto wao hali inayo pelekea watoa huduma hiyo wapite nyumba kwa nyumba.
Kwa upande wa Afisa wa mifugo Kata ya Makorongoni Manispaa ya Iringa Bw.Nathani Magogwa amesema madhara ya ugonjwa wa kichaa cha mbwa hupelekea kifo kama matibabu hayatafanyika kwa mda mahususi baada ya kung’atwa na mbwa ambaye ana ugonjwa huo.
Haha hivyo Bw.Magogwa ameongeza kuwa wafugaji wa mbwa wawe makini na mda mahususi wa kuwafungulia na kuwafungia mbwa wao aidha baada ya kuisha zoezi hilo kutakua na msako wa kuwa ua mbwa wote ambao hawajapata chanzo na wanao zulura mitaani.

0 comments:
Chapisha Maoni