MWANADADA anayefanya vizuri kunako gemu la muziki wa
kizazi kipya, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ ametetea maisha yake ya kimapenzi
na Nuh Mziwanda, akisema madai kwamba ni kijana mdogo kuliko yeye, siyo
kweli kwani wanalingana umri.
Mimi na Mziwanda wangu tunalingana kiumri lakini nawashangaa sana wanaonisema kila siku eti ninatembea na Serengeti boy, jamani mpenzi wangu siyo mdogo kwangu, tunalingana umri, ninampenda na yeye ananipenda, hatujali maneno ya watu
alisema Shilole.Katika
kuonyesha mapenzi yake kwa mwanadada huyo ambaye pia ni muigizaji wa
filamu, Mziwanda amejichora tattoo yenye jina la msanii huyo, ambalo
haliwezi kufutika.




0 comments:
Chapisha Maoni