Taarifa za awali tulizozipata ni kwamba abiria wengi wamejeruhiwa katika ajali ya basi iliyolihusisha basi la SB ambalo lilikuwa likitokea Nachingwea leo na kupata ajali mbaya katika eneo la Mchinga mkoani LINDI, pamoja na kwamba tumepata habari na picha kwa ufupi, hakuna taarifa ya mtu yeyote aliyepoteza maisha katika ajali hiyo mbaya lakini bado tunaendelea kufuatilia ili tufahamu chanzo cha ajali hiyo na madhara yaliyotokana na ajali ya basi la SB.




0 comments:
Chapisha Maoni