Jumapili, Julai 20, 2014

KIZAA ZAA CHA PENZI LA RIYAMA ALLY

STAA aliyeitendea haki sinema ya Kigodoro, Riyama Ally amesema licha ya kuwa ana mchumba lakini hayupo tayari kuolewa kwa sasa.
Riyama amesema hahitaji kuolewa kwa sasa kutokana na kushuhudia ndoa nyingi za mastaa zikivunjika, hivyo anahitaji muda mwingi wa kufikiria juu ya mtu wa kuingia naye kwenye ndoa.
Nitaolewa baada ya moyo wangu kuwa tayari kwani ndoa si jambo la kukurupuka, lazima uwe na mtu sahihi
alisema Riyama.     

0 comments:

Chapisha Maoni