Jumanne, Julai 08, 2014

ALICHOKIANDIKA WEMA KATIKA KADI YA BIRTHDAY AKIJIFANYA DIAMOND

Jana siku ya Saba-saba ilikuwa ni birthday ya mama wa mwanamuziki Diamond Platnumz ambaye kwa sasa yupo nchini marekani akifanya shughuli zake za kimuziki, lakini kuwepo kwake huko hakukufanya sherehe za birthday zikwame, kwani aliwakilishwa na watu wake wa karibu akiwepo mpenzi wake Wema Sepetu ambapo pamoja na kusimamia show nzima, pia kuna kadi aliitoa kama zawadi kwa mama mkwe wake, kikubwa kilichokuwa kimeandikwa katika kadi hiyo kama wengi walivyokuwa wakitamani kufahamu soma hapo chini katika kadi yenyewe...

0 comments:

Chapisha Maoni