Mkali wa filamu na muziki wenye asili ya mduara hapa Tzee Zuwena Muhamed
aka ‘Shishi’ ambaye aliwahi kulalamika juu ya kuibiwa idea ya wimbo wa
‘Kanitangaze’ ikiwa Nakomaa na jiji ndio shina la mafanikio ya muziki wa
shilole.
Mbali na mambo ya muziki Shilole sasa kajiunga na kuwa mwanachama wa
Kampuni ya ‘Wanawake tunaweza’ ikiwa ni kutokana juhudi za kimaendeleo
ambazo shilole huzionesha kwenye game la muzilki akiwa kama mtoto wa
kike.
0 comments:
Chapisha Maoni