Amini ambaye amemuoa binti aitwaye Farida Bashiri alisema ilikuwa vigumu kufanya sherehe kubwa kwani lengo lilikuwa ni kumuingiza ndani haraka mke huyo ili amuandalie futari pia.
Ni kweli nilioa juzi pale Magomeni Mwembechai, ilikuwa ni ndoa tu na niliamua kufanya hivyo ili kuuwahi mwezi Mtukufu wa Ramadhani
alisema Amini ambaye ndoa ilimbadili jina kwa kufungishwa kwa jina la Namini kufuata mambo ya kinyota.




0 comments:
Chapisha Maoni