MSANII wa filamu za Kibongo, Lucy Komba amefunguka
aachwe adendeke hadharani na mpenzi wake Mzungu Janus kwani ni mtu
mwenye malengo naye.
Akizungumza na mwandishi wetu mara baada ya kuhojiwa juu ya picha
zilizozagaa mitandaoni, Lucy alisema kuwa picha hizo alizipiga akiwa na
mchumba wake huyo kwa hiari yake.
Huyo mzungu ni mchumba wangu wa siku nyingi anaitwa Janus, tunapendana sana ndiyo maana sijaficha kitu niliamua kuziweka picha hizo kwenye ukurasa wangu wa Instagram. Niacheni nifanye yangu
alisema
Lucy.
0 comments:
Chapisha Maoni