Jumatatu, Mei 05, 2014

SUAREZ APATA TUZO NYINGINE

Mshambuliaji wa Liverpool, Luis Suarez amechaguliwa kua mwanasoka bora wa mwaka 2014 kwa Chama cha waandishi wa habari. Suarez, 27, hii ni tuzo yake ya pili msimu huu. 
Hii ni orodha ya wachezaji nguli waliowahi kutwaa tuzo hizo.

1987–88 John Barnes
1988–89 Steve Nicol
1989–90 John Barnes
1990–91 Gordon Strachan
1991–92 Gary Lineker
1992–93 Chris Waddle
1993–94 Alan Shearer
1994–95 Jurgen Klinsmann
1995–96 Eric Cantona
1996–97 Gianfranco Zola
1997–98 Dennis Bergkamp
1998–99 David Ginola
1999–00 Roy Keane
2000–01 Teddy Sheringham
2001–02 Robert Pires
2002–03 Thierry Henry
2003–04 Thierry Henry
2004–05 Frank Lampard
2005–06 Thierry Henry
2006–07 Cristiano Ronaldo
2007–08 Cristiano Ronaldo
2008–09 Steven Gerrard
2009–10 Wayne Rooney
2010–11 Scott Parker
2011–12 Robin van Persie
2012–13 Gareth Bale

0 comments:

Chapisha Maoni