Jumapili, Mei 11, 2014

STAA MWINGINE AJITANGAZA KUWA SHOGA! NI NYOTA WA FOOTBALL

Mchezaji Michael Sam wa St. Louis Rams inayoshiriki National Footbal League (NFL) huko Marekani amekuwa mchezaji wa kwanza kujitangaza kuwa shoga kwenye mchezo huo.
Sam mwenye umri wa miaka 24 ni mzaliwa wa Galveston, Texas nchini Marekani.

0 comments:

Chapisha Maoni