Kampuni ya Teknologia ya Google imesema itaanza kutengeneza magari yasiyohitaji madereva .
Kampuni hiyo ambayo imejijengea sifa kwa njia ya
kipekee ya utendakazi wake katika sekta ya kiteknolojia imekuwa
ikikarabati magari ya kawaida.
Magari bila Usukani
Litakuwa linaendeshwa kwa kubofya tu.
Brin alisema kuwa teknolojia hiyo inauwezo mkubwa wa kuimarisha maisha ya watu .
Watafiti wa magari yanayojiendesha yenyewe bado
wanajadili iwapo kuwepo kwa magari hayo mabarabarani yatakuwa na
upungufu wowote ikiwemo dhana kuwa itachangia ongezeko la msongamano wa
magari .




0 comments:
Chapisha Maoni