Jumapili, Mei 04, 2014

CDA YABOMOA NYUMBA ZAIDI YA 65 MLIMWA KUSINI DODOMA‏, WANANCHI WAACHWA BILA MAKAZI, WAPO WALIOZIRAI

Wananchi wa Mlimwa waking'oa mabati muda mfupi kabla ya tingatinga la CDA kufika na kuibomoa nyumba hiyo ili kupisha hifadhi ya barabara.
Bibi huyu mkazi wa Mlimwa Kusini ambaye hakufahamika jina lake akiwa hajui la kufanya baada ya nyumba yake aliyokuwa akiishi iliyojengwa kwa mtindo wa tembe kubomolewa na kuachwa na vyombo vyake alivyoweka kwenye shamba la mahindi.
Wananchi wa Mlimwa Kusini wakiwa katika hekaheka ya kuhamisha mizigo yao na kukimbia nyumba zao baada ya kupata taarifa za ujio wa tingatinga la CDA kwa ajili ya kubomoa nyumba zao ili kupisha ujenzi wa barabara.
Mwenyekiti wa mtaa huo, Zubeda Haji akielekeza jambo wakati wa ubomoaji huo.

0 comments:

Chapisha Maoni