Kocha wa zamani wa Barcelona "Tito Vilanova " Afariki dunia Leo hii akiwa na miaka 45. Marehemu Vilanova alikuwa akisumbuliwa na ugonjwa wa Cancer.Vilanova alisimama kuwa kocha wa barcelona mwaka jana mwezi jully kwa ajili ya kuendelea na matibabu ya ugonjwa wake huo na nafasi yake ikachukuliwa na Gerardo Martino.
Klabu ya barcelona imethibitisha kifo chake na kuandika maneno haya...
wana michezo mbali mbali wameguswa na kifo cha Vilanova na hizi ni mesage mbali mbali mbali zilizo andikwa na makocha wenzake pamoja na wachezaji..
Alicho andika Jose Mourinho kwenye twitter "
"FC Barcelona is in immense mourning. Tito Vilanova has died at the age of 45. May he rest in peace,"Vilanova atakumbukwa na barcelona kama kocha alie wawezesha kufikasha rekodi ya pointi 100 kwenye msimamo wa ligi kuu ya hispania ikiwa ni pamoja na kocha alie leta mafanikio mazuri wakati akiwa msaidizi wa kocha pep Gurdiola.
wana michezo mbali mbali wameguswa na kifo cha Vilanova na hizi ni mesage mbali mbali mbali zilizo andikwa na makocha wenzake pamoja na wachezaji..
Alicho andika Jose Mourinho kwenye twitter "
Tito Vilanova's passing is a sad day for football, for Barcelona and most importantly for his family and friends," "On behalf of everybody at Chelsea Football Club I send my deepest condolences at this most difficult time."Alicho andika Cesc Fabregas kwenye Facebook
"there are very few" people like Vilanova, who the 26-year-old first met when he joined Barca's La Masia youth academy as a teenager. "Tito, thanks for all you have given to football and Barca. All fans love you and are eternally grateful," "I met you 14 years ago and I can say that there are very few people like you. Thank you for always trusting me to help me improve and overcome personal and professional obstacles."Alicho andika goalkeeper Victor Valdes
"Tito Vilanova, one of the best coaches I've had in my career. Thanks for everything you gave us! RIP.
Alicho andika Abidal:
"For all that we've lived together, I'll always remember you, my friend, RIP. Thanks for fighting.Alicho andika David Villa - mchezaji wa zamani wa Barcelona
"My condolences to the family and friends of Tito Vilanova. He has always been an example during his struggle. We will never forget."Alicho andika Messi:
"A person difficult to forget. We'll always remember you. All my loving care to the family of Tito."Alicho andika Sergio Ramos (Real Madrid):
"Lots of support to all of Tito's family and friends. An example of fighting and strength for all of us. RIP"
0 comments:
Chapisha Maoni