Carol Maraj mama wa msanii Nicki Minaj ametoa wimbo siku chache baada ya mwanae kutoa wimbo mpya ‘Chi-Raq’.
Mama yake mwanamuziki machachari Nicki Minaj ambaye amekuwa anaumwa kansa ametoa wimbo wa gospel
akiimba kwa kutoa shukrani kwa mungu kwa alichomtendea hadi hivi sasa.
Hiki ni kipande cha wimbo huo ambao hivi sasa unapatikana kwa kuunza tu kwenye iTunes.
Ingia katika link hii kuusikiliza wimbo huo: https://soundcloud.com/carolmaraj/gods-been-good-single-release




0 comments:
Chapisha Maoni