Kikosi cha usimamizi, udhibiti na doria kanda ya mwanza kimeteketeza zana haramu za uvuvi zenye thamani ya shilingi milioni 313.2, zilizokamatwa wakati wa doria iliyoendeshwa katika ziwa victoria kwa kipindi cha miezi nane kuanzia mwezi agosti mwaka jana hadi kufikia mwezi machi mwaka huu katika wilaya za Nyamagana, Ilemela, Misungwi , Sengerema na Magu Mkoani Mwanza.
0 comments:
Chapisha Maoni