Jumatano, Machi 12, 2014

TANZANIA INAKABILIWA NA UHABA WA MAJAJI

Jaji wa Mahakama ya rufani, Tanzania, Edward Rutakangwa amesema bado kuna upungufu mkubwa wa majaji katika mahakama za tanzania kiasi cha kusababisha mrundikano wa kesi katika mahakama hizo ambapo katika mahakama ya kazi kuna majaji wanne tu.

0 comments:

Chapisha Maoni