Jumatano, Machi 05, 2014

TONTO DIKEH ASAMBAZA PICHA NNE AKISHUGHULIKIWA NA NJEMBA

Mwigizaji nyota wa filamu nchini Nigeria, Tonto Dikeh ameshare picha tofauti 4 zikimuonesha wakati akiwa anachorwa tattoo na anaonekana akiwa katika hali ya maumivu sana.

0 comments:

Chapisha Maoni