Sasa baada ya kumsikia msanii mkongwe katiga game ya muziki wa bongo flava Bongo, Marlaw katika No Go siku chache zilizopita, ni nafasi nyingine ya kuisikia sauti yake tamu kupitia wimbo alioufanya na nyota mwingine wa muziki wa kizazi kipya mwenye asili ya Sweeden, Mwanadada SaRaha katika wimbo uitwao 'Kila ndoto'.
Kama unauhitaji usikilize na kuuchukua katika link hii, ni bonge la ngoma... https://soundcloud.com/ sarahamusic/ kila-ndoto-saraha-ft-marlaw
0 comments:
Chapisha Maoni