Jumamosi, Machi 01, 2014

PENALTI YAIUA ARSENAL

FT: Stoke 1-0 Arsenal. Penalti ya dakika za mwisho iliyopigwa na Jonathan Walters ilitosha kuipa poitni zote tatu na kusababisha the Gunners kupoteza pointi tatu muhimu katika vita vyao vya kugombea ubingwa wa Uingereza.
Arsenal kwa sasa wapo nyuma kwa pointi nne vinara wa ligi hiyo Chelsea walioisambaza Fulham kwa bao 3-1.

0 comments:

Chapisha Maoni