Jumapili, Machi 23, 2014

JWTZ WAHUJUMU WANANCHI

Kikosi Kimoja cha Jeshi la Wananchi JWTZ jiji Dar-es-salaam ,kimevamia maeneo ya wananchi na kuvunja makazi na kufanya uHaribifu mkubwa katika huko eneo la Kimbiji,Wilaya ya Temeke,Mkoani Dar-es-salaam,
hali hiyo ya mashaka imewaacha wananchi kuishi kwa mashaka bila ya kujua hatma ya masiha yao. Wenyeji wa Kimbiji ambao wanamiliki maeneo yao na ni wakazi wa asili maeneo hayo wamekuwa wakipata usumbufu na vitisho vya wanajeshi wenye nia ya kuwanyang'anya Ardhi kwa kutumia kufia za jeshi.

0 comments:

Chapisha Maoni