Alhamisi, Machi 06, 2014

GEREJI NCHINI UGANDA YAUNDA ,UPYA MAGARI YA KISASA NA KUYAPA ,SURA ZA KISASA

Picha za magari yaliyoundwa upya na mengine kufanana na mamba. Ubunifu huu unafanyika katika karakana moja jijini Kampala Uganda, ambapo watu hutumia karibu dola ELFU TATU kuyapa sura mpya- kama kipindi cha MTV cha Pimp My Ride.
 
Tazama zaidi katika link hii  http://www.bbc.co.uk/news/ world-africa-26297365

0 comments:

Chapisha Maoni