Sasa kuna picha ambayo imezua mjadala mkali kuhusu ikiwa ilipaswa kutumiKa kuwavutia vijana kwenda kanisani AU LA.
Picha hii ilitolewa kama bango la kutangaza kongamano la vijana la kanisa litakalofanyika baadaye mwezi ujao.
Picha hii ilitolewa kama bango la kutangaza kongamano la vijana la kanisa litakalofanyika baadaye mwezi ujao.
Nini maoni yako kuihusu picha hii kama ni sawa itumiwe na kanisa
kuwavutia vijana kwenda kanisani na pia kuhudhuria kongamano hilo AU LA?
0 comments:
Chapisha Maoni