Wasanii kadhaa kutoka kambi ya Bongo movies na Bongo flava leo hii wameamua kukata shauri na kuchagua kujiunga na chama cha Mapinduzi CCM , Wasanii hao ni JB , Banana Zorro, Rich Richie, Mboto , Irene Uwoya, Johari na Wastara...Wasanii hao wamepewa kadi za CCM na mwenyekiti wa CCM taifa DKt Jakaya Mrisho Kikwete kwenye Sikukuu za maadhimisho ya miaka 37 ya CCM jijini Mbeya
0 comments:
Chapisha Maoni