Ijumaa, Februari 28, 2014

AMANDA YU HOI...UGONJWA HAUJULIKANI

STAA wa sinema za Kibongo, Tamrina Posh ‘Amanda’ amepatwa na ugonjwa wa ajabu  ambao haujulikani.
Katika mazungumzo na paparazi wetu, Amanda alisema: “Naumwa sana na nimechukua vipimo vingi ikiwemo malaria na presha pale Agha Khan (hospitali) lakini hakijagundulika chochote ingawa mwili wote unauma.”

0 comments:

Chapisha Maoni