Tone la maji linaganda ndani ya sekunde tu |
Maji katika masinki ya vyoo yameganda hivyo kuleta shida wakati wa kujisaidia |
Vitasa vya magari vinang'oka kwa kuganda |
Mji wa Michigan ni kama umetandikwa zulia la barafu |
Hata taa pia zimezungukwa na barafu |
Milango ya alminium imelock |
Sweeming Pool zimeganda kiasi kwamba mbwa wanauwezo wa kutembea juu yake |
0 comments:
Chapisha Maoni