Ijumaa, Januari 17, 2014

KAMA ULIKUWA HUJU, ULE MLIMA MREFU ZAIDI DUNIANI 'EVEREST' ULIGUNDULIWA SIKU KAMA YA LEO TAREHE 17 JANUARI MWAKA 1841

Miaka 173 iliyopita mlima mrefu zaidi duniani uligunduliwa na mpanda milima wa Kiingereza kwa jina la George Everest na mlima huo ukapewa jina lake. Hata hivyo, George Everest alishindwa kufika juu ya kilele cha mlima huo. 

Wapanda milima wawili kutoka India na Uingereza walifanikiwa kufika juu ya kilele cha mlima huo mwaka 1953.
Mlima Everest una urefu wa mita 8800 na ni katika silsila ya milima ya Himalaya ambayo inaanzia kaskazini mwa India hadi magharibi mwa Uchina.

0 comments:

Chapisha Maoni