Punyeto
ina athari nyingi na kubwa sana kwa wanaume wanao jihusisha
nayo, lakini kwa leo, tutaangalia athari moja kubwa kati ya
nyingi. Athari hii si nyingine bali na KUUA NGUVU ZA KIUME.
Mwanaume anayepiga punyeto hutumia nguvu nyingi kuibana mishipa
inayo fanya uume usimame. Mwisho wa siku uume hulegea na
kusinyaa, na kukosa nguvu kabisa na hatimaye mhusika kuwa
khanithi.
Uchunguzi unaoonyesha, kuna idadi kubwa sana ya wanaume
wanao sumbuliwa na tatizo la upungufu wa nguvu za kiume kama
matokeo ya kupiga punyeto kwa muda mrefu.
Athari za mwanaume
kutokuwa na nguvu za kiume, nadhani zinajulikana, ila kwa faida
ya wote tutazizungumzia kwa kina siku za mbele, lakini kwa
ufupi ni aibu kubwa sana kwa mwanaume kukubali kuua ufanisi
wa uume wake kwa sababu ya kupiga punyeto.



0 comments:
Chapisha Maoni