Msanii huyu toka Nigeria amejikuta akiambulia aibu baada ya
nyeti zake kuanikwa hadharani wakati akitumbuiza jukwaani.
Tiwa alikuwa akitumbuiza jukwaani huku akiwa na kisiketi kifupi
ambacho kilianika kila kitu kwa kuwa ndani hakuvaa KUFULI.
Kilichomstua ni baada ya kuona watu wako bize na simu zao
wakipiga picha hasa eneo la chini alipokuwa amesimama juu ya
jukwaa...
Hali hiyo ilimfanya akatishe show kwa muda ili kupata muda wa kujiweka vizuri



0 comments:
Chapisha Maoni