Watu wanaodhaniwa kuwa magaidi wamevamia kituo cha Polisi katika
Mji wa Mandera nchini Kenya kwenye mpaka na Somalia na kuwaua polisi
wawili, watatu wamejeruhiwa vibaya na baadaye kuchoma magari zaidi ya
11.
Jana pia kulikua na shambulio sehemu inaitwa Wajir kwenye soko ambapo mtu mmoja alifariki




0 comments:
Chapisha Maoni