Ijumaa, Septemba 13, 2013

AISHA BUI ANASWA NA MADAWA YA KULEVYA BRAZIL

Msanii wa Bongo muvi ambaye pia aliwah kuwa mke wa mfanyabiashara maarufu nchini marehemu Mohamed Mpakanjia bibie Aisha Bui anadaiwa kukamatwa na madawa ya kulevya nchini Brazil.. Mtandao huu bado unafatilia kwa ukaribu ishu hii na utawaletea habari kamili muda mchache ujao.

0 comments:

Chapisha Maoni