Rihanna amesaini mkataba mpya na Kampuni ya Jay Z ya Roc Nation ambao inasemekana ni mnono kuliko mikataba yake yote iliyopita.Rihanna akiongea kwenye vyombo vya habari alikataa kusema ni kiasi gani atapata kwenye mkataba huo nakusema tu (trust me i love it).
Uchunguzi wetu ulibaini kuwa Rahanna mbali na hela ambayo ni guarantee pia atakuwa anapata asilimia ya mapato yote yatakayopatikana kutokana na mauzo ya kazi zake.
0 comments:
Chapisha Maoni