Ijumaa, Agosti 30, 2013

ALICHOKIANDIKA NISHA KUMUWISH HAMED HAPPY BIRTHDAY NA KUZUA MZOZO MKUBWA KWA WATU




“HAPPY BIRTHDAY.. mwanaume unaefanana na mwanaume wa maisha yangu, mwanaume nnaempenda kuliko chochote duniani,mwanaume alienifanya nisione mwingine duniani zaidi yake,mwanaume akiyenipunguza kilo kumi ndani ya siku 20,(mind ur own bizzness usiniulize kwanini), ninapokuangalia ww namuona yeye,, HAPPY BIRTHDAY my Lusungu my Fernandoo .. my Mathias,, maisha mema na yenye baraka tele yawe mbele na nyuma yako..”

0 comments:

Chapisha Maoni