Ijumaa, Mei 27, 2016

MAMBO MANNE YANAYOFAA KUZINGATIWA KAMA UNA TABIA YA KULALA ADHUHURI

1. Kwanza usilale mara baada ya kula chakula cha mchana, unashauriwa kulala baada ya dakika 20 ukimaliza kula;
2. Unashauriwa kulala chali vizuri na kujifunika shuka na kulala vizuri;
4. Kama huwezi kupata usingizi mara moja ukilala kitandani, bora kwanza ufumbe macho na kuzingatia vizuri katika pumzi zako na kupumua polepole kitendo ambacho kitasaidia kuweze kupata usingizi mzuri.

0 comments:

Chapisha Maoni