Jumanne, Aprili 05, 2016

MWENYEKITI WA CHADEMA IRINGA AFA AJALINI

Taarifa tuliyoipata inaeleza kuwa mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Mkoa wa Iringa bw. Sinkala Mwenda amepata ajali jioni ya leo eneo la Tanangozi na kukimbizwa Hospitalini kwa ajili ya matibabu lakini kwa bahati mbaya amefariki dunia muda mfupi uliopita wakati madaktari wakijitahidi kuokoa uhai wake.

0 comments:

Chapisha Maoni