Jumapili, Aprili 03, 2016

BARRACK OBAMA: TRUMP HAIFAHAMU DUNIA

Rais wa Marekani Barrack Obama anamtaja mgombea wa kiti cha urais kwa tiketi ya chama cha Republican Donald Trump, kama mtu asiye ufahamu wowote wa sera za kigeni na ulimwengu kwa jumla.
Rais Obama ameyasema hayo baada ya Donald Trump kusema kuwa wanajeshi wa Marekani wanafaa kuondoka Japan na Korea Kusini, na mataifa hayo yanafaa kutengeneza zana zao za kinyuklia

0 comments:

Chapisha Maoni